Tunu za taifa zimekuwa sehemu ya mazungumzo yetu ya kila siku kwenye shule, majukwaa ya viongozi, na hata katika mijadala ya kijamii. Tunazisikia, tunazitaja, na wakati mwingine tunazisifia. Lakini swali la msingi l…
Katika nyakati za sasa, tunu za taifa zimekuwa zikizungumzwa mara kwa mara, lakini mara nyingi hubaki kuwa maneno yanayosikika kwenye hotuba, nyaraka au kauli mbiu. Wengi huzisikia, wachache huzielewa, na wachache z…